Je, OEO ni nini?
Pata Usaidizi Wetu kuhusu Maswali ya Elimu ya Umma ya K-12
Pata Usaidizi Wetu:
Mtandaoni – Tunakuhimiza utumie Mchakato wetu mpya wa Kujiandikisha Mtandaoni. Utahitaji kufungua akaunti kwa kutumia jina lako na anwani sahihi ya barua pepe. Baada ya kufungua akaunti na kukamilisha mchakato wa kujiandikisha mtandaoni, mtu fulani atawasiliana nawe haraka iwezekanavyo ili kukupa maelezo au kuratibu miadi. Mchakato wetu wa kujiandikisha mtandaoni unapatikana kila wakati, lakini mtu fulani atafuatilia wakati wa saa za kawaida za kazi.
Saa za Kazi
-
Jumatatu saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni (8:30 a.m. - 5:00 p.m.)
-
Jumanne saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni (8:30 a.m. - 5:00 p.m.)
-
Jumatano saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni (8:30 a.m. - 5:00 p.m.)
-
Alhamisi saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni (8:30 a.m. - 5:00 p.m.)
-
Ijumaa saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni (8:30 a.m. - 5:00 p.m.)
Kwa Simu – Ikiwa unapendelea kuzungumza na mtu ana kwa ana au unahitaji usaidizi wa kukamilisha mchakato wa kujiandikisha mtandaoni, tafadhali tupigie simu kwa nambari ya simu isiyolipishwa 1-866-297-2597 wakati wa saa zetu za kazi za Jumatatu hadi Ijumaa. Wafanyakazi wetu wanaweza kufikia huduma za ukalimani wa simu kwa zaidi ya lugha 150.
Kwa Faksi au kwa Barua – Pakua fomu ya Kuomba Huduma za Wapelelezi wa Malalamiko ya Wananchi (Ombuds) na uwasilishe fomu iliyojazwa kwa njia ya faksi, barua au barua pepe (maelezo ya mawasiliano yamechapishwa kwenye fomu) kwa OEO. Faksi: 1-844-886-5196
Habari na Matukio
- Kadi ya Vidokezo vya Ukalimani Ilitafsiriwa kwa:
-
Arabic_بطاقة نصائح الترجمة الفورية_Interpretation_Support_Tips_Card
Chinese_Simplified_口译提示卡_Interpretation_Support_Tip_Card
Chinese_Traditional_口譯貼士卡片_Interpretation_Support_Tip_Card
Korean_통역 도우미 카드_Interpretation_Support_Tip_Card
Russian_Карта_с_подсказками_при_устном_переводе_Interpretation_Support_Tips_Card
Somali_Kaarka_Tilmaamaha_Turjumaada_Interpretation_Support_Tips_Card
Spanish_Consejos_de_Interpretación_Interpretation_Support_Tips_Card
Tagalog_Kard_ng_mga_Tip_sa_Pagsasalin_Interpretation_Support_Tips_Card
Vietnamese_Thẻ_Lời_khuyên_phiên_dịch_Interpretation_Support_Tips_Card
- Moja Kati ya Tano: Historia ya Ulemavu na Mradi wa Fahari
- Mikutano ya Mtandaoni na Matukio Yajayo
-